Friday, June 3, 2011

JANA ALHAMIC USIKU ILIKUWA 'BIRTHDAY' YA RAFIKI YANGU TID...'


Wajameni jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Swahiba wangu Mwanamuziki TID aka 'TOP IN DAR' ambaye ni Rais wa bendi yas TOP BAND ya jijini Dar! Sasa kwenye shughuli yake hiyo ya kuzaliwa jana Alhamic usiku aliwaalika watu wake wooote wa karibu na mimi nikiwa mmoja wao, na kwakweli 'PART' ilifana pale ndani ya MAISHA CLUB Oysterbay jijini Dar, kwaiyo kama kawa kama dawa Blogu yako ya KINYAIYAS 'inakuburuzia' tukio zima kwa ufupi na hapa ni wakati wa ufunguzi wa Part hiyo ambako Mwanadada AISHA alifungua CHAMPAIN kwa niaba ya TID na TOP BAND, ENJOY...

Akikabidhiwa CHAMPAIN ili awamiminie washkaji zake waalikwa akiwemo Mwanabongo Flava ALBERT 'MANGWEA' kulia kwake...

Sasa ikaja zamu ya kulishwa KEKI na mimi BEN KINYAIYA ndio nilikuwa mtu wa kwanza kulishwa iyo KEKI jana usiku! We waangalie woote kuanzia kulia ni STEVE NYERERE, OMMY DIMPOZ, TID na Mamaa ASHURA MACHENI wakiniangalia kwa jicho la 'UROHO' loooh...

Mtu mzima nikala 'POUZZZ' baada ya kula KEKI ya watu, weee CHEZEA MIMI weweee...

No comments:

Website counter