Friday, June 3, 2011


Huyu ni STEVE NYERERE ambaye ndie alikuwa ni MC kwa shughuli ya kuzaliwa Mwanamuziki TID jana Alhamic usiku ndani ya ukumbi wa MAISHA CLUB ulioko OYSTERBAY jijini Dar...

ALI KIBA kushoto, akiimba pamoja na TID stejini...

Mmmmh take oone aaand Action, MIMI na ALI KIBA...

Ilikuwa ni furaha 2 jana usiku, we mwenyewe si unachec apo MANGWEA na TID wanavyofurahia maisha! Kushoto ni Mtaalam OMMY DIMPOZZ kutoka TOP BAND...

1 comment:

Anonymous said...

Mangwea anajua maana ya hiyo ishara au anaiga tu kwa kua watu maarufu wanaonesha hizo alama za pembe mbili?

Website counter