Aaah tatizo 'KILAJI' kikikolea basi mkila mtu ana 'Haiba' na sura yake loooh! Pichani kuanzia kulia ni Beki wa zamani wa YANGA na Timu ya Taifa MWANAMTWA KIHWELU, anaefuata ni Katibu mkuu wa shirikisho la mpira nchini 'TFF' ambaye pia ni mwandishi wa Habari Mwandamizi ANGETILE OSIAH, MIMI na Kiungo wa zamani wa YANGA na Timu ya Taifa ALLY YUSUPH aka 'TIGANA', tukiserebuka kwa muziki murua wa MSONDO NGOMA leo jumamosi usiku huu...
No comments:
Post a Comment