Tuesday, May 3, 2011


Yaap ulipokuja muda wa SOWBIZZ ilikuwa hatari kwa wanenguaji hawa...

Waimbaji mahiri wa Twanga Pepeta, DOGO RAMA kushoto akifurahi na mwenzie CHALZ BABA walipokuwa Stejini Jumapili hii usiku...

Weeweeeee chezeaaaa...

Aaah tuache utani kwa upande wa Shoo, Twanga wana 'WATU' bwana daah, pichani mbele ni ASHA SHARAPOVA ambaye zamani alikuwa FM ACADEMIA...

No comments:

Website counter