Wednesday, May 4, 2011

'MAVITUZZ' YA TWANGA PEPETA WEEKEND HII...


Kiongozi mkuu wa Bendi ya Twanga Pepeta LUIZA NYONI MBUTU akishambulia jukwaa na 'mzee wa kulalamika' MUUMIN MWINJUMA ambaye tayari amejiunga na Bendi hiyo ili kuongeza NGUVU, hii ilikuwa ni Jumapili hii...

Huyu ni MSAFIRI DIOUF ambaye ni rapa mwenye kipaji 'kikubwa' na kwangu mimi naweza kumwita ni 'Mwanamuziki wa kimataifa' kwani ana uwezo wa kuimba nyimbo za miondoko yoote tena kwa Lugha fasaha ya 'KIINGEREZA' ila tatizo lake 'HAJITAMBUI' jamani looh...
Mwimbaji mahiri wa Twanga Pepeta CHALZ BABA akicheza na shabiki maarufu na 'MFUPI' kuliko woote aitwae SOFIA...

Mmmh ana kasheshe huyu, yaani akikuganda 'HAKUACHI' daah...

No comments:

Website counter