Tuesday, May 3, 2011

UKISTAAJABU YA MUSSA...


Kwa taarifa yako ni kwamba Beki wa zamani wa Arsenal ya England WILLIAM GALLAS aliye pichani juu na NAHODHA wa zamani wa timu hiyo THIERRY HENRY aliye pichani chini WAMEZALIWA siku moja, tarehe moja, mwezi mmoja na mwaka mmoja, namaanisha wote wawili wamezaliwa Tar 17 agosti 1977.

No comments:

Website counter