Wednesday, May 18, 2011


Wachezaji wa BAFANA BAFANA wakiingia kwenye Basi lao tayari kuondoka mara baada ya mchezo huo ambao walishinda kwa bao 1 - 0 Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja mkubwa wa Taifa jijini Dar.


Basi la wachezaji wa TAIFA STARZ likiwakusanya wachezaji wa Timu hiyo tayari nalo kuondoka mara baada ya mchezo kwisha...

Nikiwa na Kiungo na Nahodha wa zamani wa Timu ya SIMBA ya jijini SULEIMAN MATOLA aka 'BATAAA'...

No comments:

Website counter