Huyu aliye pichani kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam SAID MECK SADIQ ambaye ndie aliyekuwa mgeni rasmi katika pambano kali la kirafiki la soka kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania 'TAIFA STARZ' na Timu ya taifa ya Africa ya Kusini 'BAFANA BAFANA' iliofanyika Jumamosi usiku ndani ya uwanja mkubwa wa Taifa jijini Dar ambapo Bafana bafana walishinda kwa Bao 1 - 0. Kulia kwake ni Mbunge wa Kinondoni Mh. IDD AZAN.
No comments:
Post a Comment