Wednesday, May 18, 2011


Mwenyekiti wa Chama cha soka AFRICA KUSINI kulia mwenye suti nyeusi na viongozi wenzie wakitoa shukrani zao wa 'KUKIRIMIWA' vizuri na Viongozi wa TFF mara baada ya mchezo huo uliofanyika Weekend iliyopita. Katikati Mwenye Flana nyeusi ni Katika mkuu wa Shirikisho la soka nchini TFF ANGETILE OSIAH aka 'NGETA' akiwasikiliza kwa makini wageni hao...

Nikiwa na Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Africa kusini aka 'Bafana Bafana' PITSO MOSIMANE mara baada ya mchezo kuisha...

Mwandishi mwandamizi wa Habari za michezo na uchambuzi nchini EDO KUMWEMBE akiwa kwenye 'POUZZZ' na mwenyekiti wa chama cha soka Afrika kusini mara baada ya mchezo huo...

No comments:

Website counter