Tuesday, May 3, 2011

KUTANA NA BASI LA 'MAAJABU' DUNIANI...


Hili ni basi la maajabu liitwalo 'COOL AMPHIBIOUS' ambalo linaweza kutembea Ardhini na pia Majini. Basi hili lina tengenezwa na Kampuni Cool Amphibious Manufactures International iliyoko BLUFFTON nchini MAREKANI. Basi hili limekuwa likitumika kama usafiri katika miji mbalimbali kama vile Rotterdam Holland, Boston Marekani, na Dublin Ireland.

Hapa likiwa Ardhini...

No comments:

Website counter