Monday, May 9, 2011

TUZO ZA TASWA 'ZILIVYONOGA' JUZI PALE NDANI YA MOVENPICK HOTEL...


Chama cha wandishi wa Michezo nchini 'TASWA' juzi katika Hotel ya Movenpick iliandaa hafla ya kuwatunuku TUZO wale wanamichezo woote waliofanya viizuri katika Fani zao walitunukiwa Tuzo na mshindi wa jumla alikuwa ni mdada huyu mrefu niliyenae pichani ambaye ni Mcheza 'NETBALL' nyota nchini anayeichezea Timu ya JKT na Timu ya Taifa aitwae MWANAIDI HASSAN ambaye alijinyakulia Gari mpya aina ya GX 100 na kwa ujumla Tuzo hizo zilifana sanaa na pongezi kwa waandaaji waendelee kuziboresha zaidi na zaidi mwakani.

Mwandishi mwandamizi wa michezo nchini EDO KUMWEMBE akipozzz na mshindi wa jumla wa Taswa Bi. MWANAIDI HASSAN.

Pichani nikiwa na na swahiba zangu, kushoto ni Mshindi wa mwaka juzi wa Shindano la B ig Brother Africa Bw. RICHARD na Bi. lUCY DIVINE katikati...

Nikiwa na 'Fun' Bi. FATMA YASODA...

No comments:

Website counter