Friday, May 6, 2011

TID NA TOP BAND 'WALIPOWADUWAZA' WATU JANA USIKU...


Bendi mahiri ya TOP BAND inayoongozwa na mwana Bongo Flava KHALID MOHAMED aka TID jana ilifanya 'KUFURU' ndani ya ukumbi wa MAISHA CLUB ulioko Oysterbay jijini Dar na kuwapagawisha watu wengi sana waliohudhuria 'Concert' hiyo TAKATIFU...

Wakiwa kama Wanenguaji waalikwa jana, Madansa hawa wa Twanga Pepeta walienda kumtembelea TID na walionesha Ufundi wa hali ya 'JUU' kwenye suala la kuchezea 'NYONGA' daaah, pichani juu ni MARIA SOLOMA akimwaga Radhi jana Alhamic usiku...

'SHUGHULI' ilikuwa hapa kwa ASHA SHARAPOVA na mtu mzima TID...

No comments:

Website counter