Friday, May 20, 2011

SHEIKH YAHYA HUSSEIN 'HATUNAE' TENAA DUNIANI...


Mtabiri na Mnajibu mkongwe Africa Mashariki na kati Sheikh YAHYA HUSSEIN amefariki muda mchache uliopita kwa habari za uhakika nilizozipata muda huu na msiba upo pale nyumbani kwake MAGOMENI mwembe chai jijini Dar. Nawapa pole sanaa wafiwa woote wakiwemo rafiki zangu wapendwa KAWKAB na kaka yake HUSSEIN ambao ni watoto wa Marehemu, mungu awape moyo wa Subra katika kipindi hiki kigumu kwenu!

No comments:

Website counter