Friday, May 20, 2011

AAH JAMANI HII SASA NI 'TOOO MUCH' BANAA AAAAGH...


Ivi jamani hawa 'JAMAA' wameshindwa kufanya huo 'UKARABATI WA MITAMBO' tangu wakati ule wa mgao wa Umeme 'waliotupa' kwa nchi nzima ndio wajifanye kutaka kuufanya sasaivi na matokeo yake wanatukosesha umeme hivi hivi wakati sasaivi kuna Mvua za 'kumwaga' jamani, huu ni 'UZEMBE MTAKATIFU' unatufanya tuichukie Serikali yetu hivihivi kwa uzembe wa watu 'WACHACHE' looh...

No comments:

Website counter