Sunday, May 22, 2011

NAAM MASTAR WA 'BONGO MOVIE CLUB' WATUA MWANZA KUTOA 'KIPIGO' LEO JIONI CCM KIRUMBA


Sio mimi tu niliyesinzia kwenye NDEGE, hata RAY na MASUDI BITEBO nao waliuchapa vilevile...

Daah kati ya wote waliouchapa usingizi kwenye 'NDEGE' huyu kaka yetu JIMMY MASTER ndio kiboko kwa 'POZI' lake haa ahaaaa....

Nimeshatua ndani ya MWANZA sasa subirini 'MANJONJO' yangu leo jUMAPILI jioni CCM KIRUMBA...

Tunakwenda 'KIMATAIFA' zaidi, ni mwenda wa sare 'FULL TRACKSUIT' banaa, ebu wachec apo kina J.B, ODAMA, JIMMY MASTER, MASOUD BITEBO walivyopendeza alaaah...

No comments:

Website counter