Sunday, May 22, 2011


Naam kikosi kizima cha Timu ya wasanii woote wa FILAMU nchini 'BONGO MOVIE CLUB' kimeshawasili ndani ya jiji la MWANZA tayari kabsaa kutoa kipigo kikali kwa Timu ya WATANGAZAJI na MADJ wa Mwanza kwenye pambano kali kabisa la SOKA litakalofanyika Jumapili ya leo jioni ndani ya uwanja wa CCM KIRUMBA kuanzia saa 10 kamili jioni. wapenzi wooote wa Soka njooni mtuone tunavyo waburuza watu leo LIVE. pichani kuanzia mbele ni HATMAN, MIMI, RAY, TINO na wengineo tukishuka kwenye 'NDEGE' maalum iliyotupeleka MWANZA jana weeweeee...

Ni usingizi tu kidogo ulinipitia ndani ya 'NDEGE' jamani daah...

No comments:

Website counter