Tuesday, May 3, 2011

SIKU RAFIKI YANGU FRANCIS ALIPOACHANA RASMI NA UKAPERA...


Jumamosi hii ilikuwa ni Hoihoi na nderemo kwa rafiki yangu FRANCIS MSHANA na mkewe BEATRICE MMBAGA walifunga pingu za maisha katika kanisa la ST PETERS pale Oysterbay na baadae kukafuata MNUSO wa nguvu ndani ya ukumbi wa MSASANI CLUB maeneo ya MOROCCO jijini Dar. Bwana harusi ni rafiki yangu mkubwa na kutoka moyoni namtakia kila la Kheri aweze kudumu kwenye ndoa yake...

Na MC wa MNUSO huo uliofana sana alikuwa ni kijana mdogo lakini mwenye sauti neeneeee aitwae GODWIN GONDWE aka 'Double G' ambaye ni mtangazaji wa Television ya ITV ya jijini Dar, maana hata England nako kuna ITV mmmh...

Maharusi na wapambe wao walikuwa na furaha saanaaaa kwakweli...

Kila la kheri FRANCIS na BEATRICE...

No comments:

Website counter