Friday, May 13, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Yaap undugu ni kufaana banaa! Hapa tukiwa ofisini kwa watengeneza Flana maarufu jijini 'KING'OKO' maeneo ya Kijitonyama tulipowatembelea kama wadau wetu wakubwa kikazi na haswa kwenye kipindi chetu cha 'BEN & MAI LIVE' pale kati TBC...

Nikiwa na 'BEST' yangu JERRY TEGETE, mshambuliaji machachari wa timu ya YANGA ya jijini...

Nikiwa na muigizaji Chipukizi lakini machachari nchini, LULU...

Yaap kuanzia kushoto ni YUSUPH MLELA na kulia ni Nguli wa Filamu J.B ambao wote ni waigizaji wakali Bongo hii...

No comments:

Website counter