Thursday, May 12, 2011

SIKIA IYO...


Kwa taarifa yako sasa ni kwamba winga machachari wa Timu ya ARSENAL ya England THEO WALCOTT ndie mchezaji pekee mpaka sasa aliyecheza mechi 113 katika Ligi ya Uwingereza bila kupewa Kadi ya 'NJANO' hata mara moja mpaka sasa duuh, We unaweza?...

No comments:

Website counter