Sunday, May 15, 2011

JAMANI NILITOKA KIDOGO WASHKAJI...

Jamani kwa siku mbili hizi msione kimya wadau wa KINYAIYA BLOGU ni kwamba nimesafiri kidogo ila narudi Dar kesho Jumapili then ntawashushia 'mavituzz' yangu apa Bloguni kama kawa...

No comments:

Website counter