Thursday, May 5, 2011


Hii pia ni BONGE la scene iliyonisisimua pia ambayo kwa hakika kila mpenda BONGO MOVIE ataifurahia MOVIE hii ikishatoka mwezi ujao...

Ni Filamu inayohusu 'MAPENZI' kwa ujumla ila ina 'UJUMBE' mkali sanaa kwa maisha yetu ya Mapenzi ya kilasiku, yaaani we acha 2 daaah...

Hapa tukiwa kwenye 'SET' tayari kuanza Kushoot Scene hii ya kusisimua sanaa...

Tukifurahi mara baada ya kuimaliza 'SCENE' hiyo tukiwa na HUSNA IDD aka 'SAJENT'...

No comments:

Website counter