Thursday, May 5, 2011

NAKULETEA BAADHI YA SCENE ZA 'MOVIE' YETU NA AUNT EZEKIEL IITWAYO 'ZE SAME GIRL'...


Yaap naamini wadau na wapenzi woote wa Filamu za Bongo wataburudika sana siku watakapoiona Filamu yetu hii iitwayo 'ZE SAME GIRL' ambayo tumecheza MIMI, AUNT EZEKIEL ambao ndio 'Mastering', pamoja na kina HUSNA IDD 'SAJENT' na STEVE SANDHU! Ni Movie kali sana ya 'MAPENZI' ambayo ina kisa cha kusisimua sanaaa, na nina unakika 'ITAFUNIKA' saanaaa itakapotoka mwezi ujao! Pichani ni Cameraman mahiri nchini AMAN akiwa ameshaset kilakitu tayari kuanza kushoot 'Scene' izo hapo chini ambazo ni baadhi 2 jamani...

Hapa ni mimi na AUNT kwenye SCENE ya 'SWIMMING POOL' ambayo ilikuwa ni Tamu sana na yenye vituko vingi kwa watu waliokuwa pembeni wakituangalia, so naamini hata wa MAJUMBANI pia mtaburudika siku 'MOVIE' hii itakapotoka...

Mmmh si mnasemaga eti 'MWANAMKE KUDEKA ATIII'...

Hii 'SCENE' ikaishia hapa jamani tukaendelea na nyingine maana ziko nyingi banaa...

No comments:

Website counter