Friday, May 20, 2011

'MAVITUZZZ' YANGU JANA MCHANGANI...


Ni vizuri kufanya mazoezi ya mara kwa mara kuliko kujibweteka kwenye 'ZAMA' hizi za magonjwa kibao ya 'OVYO', lazma uwe 'FIT' muda woote banaaa...

Mie ni HTARI sana kwa wale wanaoujua uwezo wangu wa 'KUPIGA BALL', na nina uwezo wa kuichezea timu yoyote nchini hata SIMBA na YANGA kama nikiamua kweli kuwa 'SERIOUS' na mpira, sema ndio ivyo tena 'MAJUKUMU' yameshaingia mwilini na kiakili daaah...

Alaaah 'CHEZEA' mimi weyee, UTAUMIAA...

No comments:

Website counter