Wednesday, April 27, 2011


Yaap RAY nae alihojiwa kama kawa ili waandishi nao wapate mawili matatu ya 'KUONGEA'...

Yaap hiki ndicho kikosi kizima cha 'BONGO MOVIE CLUB' pamoja na viongozi wa timu kuanzia kushoto waliosimama ni HATMAN, DK CHENI na CHICI...

Na hapa ndio tunajipanga uwanjani kwa ukaguzi tayari kwa kuanza 'KIPUTE' chetu, ilikuwa 'BALAAA' nakwambia...

Yaap nikiwa kama 'CAPITAAAIIINNN' wa timu nikimuongoza mgeni Rasmi kuwatambulisha wenzangu walioko kwenye mstari kama taratibu za ukaguzi zilivyo...

No comments:

Website counter