Wednesday, April 27, 2011


Haa ahaaa na apa ni wakati wa kupasha 'MISULI' moto, watu wana speed sanaa nakwambia 'USIPIME' weee...

Sasa chec izo MASHINE mbele yako, kuanzia kushoto ni SUDDY, JB, RAY na CHECBUDY na mie niko nyuma yao, ni 'MBIO' tu apo na usimuone uyo JB alivyo 'BONGE' ukadhani ni 'MTEKE', weee anakimbia uyooo, na ukitaka kumtambua jaribu kupora 'SIMU' yake alafu ukimbie uone kazi...

Daah hapo sasa ni 'HALFTIME' na tuko 'HOI' taabani, haswa uyo swahiba wangu RAY pembeni yangu ndio alikuwa 'Hoii' zaidi, alafu aka ka STEVE bwana ebu kachec kalivyokaa apo pembeni loooh...

Naam sasa GEMU inaendelea na mie nilicheza namba 10 kama kawa na walinitambua uwanjani kwa uwezo wangu kudaadekiii...

No comments:

Website counter