Thursday, April 7, 2011


Wakati wa msosi kama kawa hakuna kujivunga atiii, WEMA SEPETU aliongoza msafara wetu...

Mwana Bongo flava DIAMOND aliye kulia mwa picha hii nae hakukosa na pia lituimba waalikwa kwenye Harusi hiyo ya NGUVU, katikati ni rafiki yangu RAMSON RUTIGINGA...

Ze big boosss CHIEF KUIMBE alifungua muziki kwa waalikwa na kumwaga 'UNO' la nguvu daah...

Mmmh ni mwendo wa mapoouzz ya 'Kimiss' tu apa, ebu mchec mwenyewe haa ahaaa ahaaa safi sana WEMA...

No comments:

Website counter