Thursday, April 7, 2011

SIKU RAFIKI YANGU SALEH NAE ALIPOPATA 'JIKO' LAKE LA MAISHA...


Hii ni Harusi ya rafiki yangu SALEH ambaye ni mdogo wake PEDESHEE maarufu jijini aitwae CHIEF KIUMBE iliyofanyika weekend iliyopita pale LAMADA HOTEL maeneo ya ILALA jijini Dar, kwa hakika harusi ilifana na kuhudhuriwa na watu mbalimbali maarufu nchini, na 'Bestman' wa bwna harusi alikuwa ni Mkali wa Dansi nchini ALLY CHOKI ambaye ni kiongozi wa Bendi maarufu ya 'EXTRA BONGO' ambayo pia ilitumbuiza siku iyo, watu walikula na kusaza kwa kwenda mbeeleee...

ALLY CHOKI akimsindikiza bwana Harusi kupeleka Keki upande wa UKWENI...

Kwa hakika walipendeza saanaaaa...

Na MC wa sherehe iyo alikuwa ni mchekeshaji maarufu nchini BAMBO aka mzee wa MPODODO...

No comments:

Website counter