Thursday, April 7, 2011


Hapa ni Ze big mbooossss CHIEF KIUMBE na Mtaalamu BITEBO Anayemiliki Saloon za kiume maarufu jijini Dar za BITEBO AIR CUTTING...

Wale wa 'RANGI' tofauti nao walikuwepo, ili mradi ni raha 2...

Nikitwanga 'STORI' na mdada WEMA SEPETU...

MASHOSTITO ambao ni waigizaji maarufu wa Filamu nchini, kushoto ni WEMA SEPETU na kulia ni JAQ PENTEZEL...

1 comment:

Anonymous said...

mbona wema anaonekana kufubaa sana na hizo nywele za bei rahisi kwa hadhi yake??

Website counter