Saturday, April 9, 2011


Wacheza Filamu kushoto ni JAQ WOLPER na kulia ni ODAMA wakiwa mazoezini jana...

Huwa kila baada ya kumaliza mazoezi tunakuwaga na kikao cha kuongea mawili matatu na kama unavyowaona sisi woote wa Timu zoote mbili Football na Netball tumeshikamana na kuwa kitu kimoja na tumealikwa kwenda sehemu moja muhimu sana ya nchi yetu kufanya 'ISHU' flani ambayo ntawajulisha wiki ijayo mambo yatakapokamilika. Pichani wanaonekana kina SHILOLE, JAQ PENTEZEL, ROSE NDAUKA, COLETA na wengineo...

Huyu jamaa anaitwa CHIKI MCHOMA ambaye ndie Kocha wetu wa Football na kulia ni Captain wa Timu ya Netball JAQ WOLPER...

Nguli wa Filamu CLOUD aliyekaa apo chini kushoto hivi sasa yuko FIT baada ya kupunguza kilo kibao pamoja na Kitambi weeweee chezea BONGO MOVIE CLUB...

No comments:

Website counter