Saturday, April 9, 2011

BONGO MOVIE CLUB YAUNDWA UPYA, NA KWA HAKIKA ITATISHAAAA...

Jamani kuna ujio mpya wa 'kimapinduzi' wa Timu ya BONGO MOVIE CLUB ambayo inajumuisha Timu zoote mbili, ya Football na Netball ambazo zoote kwa pamoja zimeshaanza mazoezi wiki ya pili sasa ndani ya Viwanja vua Leaderz Kinondoni kila asubuhi saa 1, nia ni kujuika pamoja na kuunda MUUNGANO wetu utakaotufanya tushirikiane kwenye mambo mbalimbali ya 'MAANA. Sasa leo Jumamosi jioni hii ndani ya viwanja vya TTCL kijitonyama Timu ya Netball ya 'BONGO MOVIE CLUB' itakuwa na Mechi kali ya TTCL ivyo wapenzi woote wa MOVIE na wadau wa michezo mnaombwa kuhudhuria kwenye mechi hiyo ili muweze kuwaona 'WACHEZA FILAMU' wenu woote maaarufu wa kike wakifanya vitu 'ADIMU' uwanjani, nasi tutakuwepo kuwashangilia kwa nguvu zoote ili waibuke na ushindi maana wako 'FIT' sanaa sasaivi, na kama huamini njoo ushuhudie kesho jioni...

Kuanzia kulia ni SHILOLE, JAQ PENTEZEL, ROSE NDAUKA na wengineo wakifanya mazoezi ya mwisho jana...

Kwa hakika wako FIT sanaaa sasaivi, njooni muwashuhudie...

'Hooiii' kudaadeki, mazoezi mchezo...

No comments:

Website counter