Wednesday, April 27, 2011


Sasa ukafikia wakati wa 'SHOOBIZ' ya wanenguaji wa kike wa Bendi ya EXTRA BONGO huku mechi zinaendelea, ilikuwa raha saanaaaa...

Wee acha bwana, ilikuwa BALAAA...

Huyu ni FATMA KIBOSHO, ni mnenguaji 'HATARI' sanaaa na Extra Bongo walimnyakuwa kutoka Twanga Pepeta...

Huyu pia ni mnenguaji mkongwe OTILIA BONIFACE, nae walimnyakuwa kutoka TWANGA...

No comments:

Website counter