Wednesday, April 27, 2011


''Haya NYAMWELA tuko ofisini sasa tuanze kazi''... Ndivyo Kiongozi na Rais wa Bendi ya EXTRA BONGO ALLY CHOKI akimwambia machache kiongozi wa wanenguaji wa Bendi hiyo jana Jumanne mchana wakati Bendi hiyo ilipoanza kutoa Burudani ndani ya viwanja vya TABATA SHULE kwenye BONANZA la MUUNGANO DAY...

Hayaa sasa TWENDE KAZI...

Huyu ni 'Rapa' wao namba moja aitwae SAULO FERGASON 'akighani' kwa hisia, na huyu nae walimchomoa TWANGA PEPETA na mpaka leo kuna 'pengo' lake kule dooh...

Yaap kushoto ni mpiga SOLO mahiri EPHRAHIM JOSHUA na katikati ni mwimbaji ATHANAS...

No comments:

Website counter