Saturday, April 2, 2011

MTANISAMEHE KIDOGO JAMANI...

Wadau wa KINYAIYA'S BLOG msione kimya ni kwasababu nipo jijini Mwanza kikazi mpaka Jumatau, kwaiyo nawakusanyia 'MAJAMBOZ' ya nguvu ili nije 'kuwamwagia' apa Bloguni, Asanteni sana na Vuteni subra muone Mamboz...

1 comment:

hansom said...

Hi Ben! Vp post zako huweki tarehe? If you don mind weka tarehe ili tujue habari ya lini,kazi njema.

Website counter