Sunday, April 10, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Nikiwa na muigizaji 'NGULI' wa kike nchini AUNT EZEKIEL majuzi tulipokutana...

Mcheza Filamu maarufu nchini DK CHENI kushoto, akiwa na Mshindi wa shindano la Big Brother Africa mwaka juzi RICHARD ambaye kwasasa ni Producer wa Filamu...

Nikiwa na rafiki yangu MIRAJI KIKWETE katikati ambaye ni mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, kulia ni mcheza Filamu JASPER MWAKIFAMBA...

Wana Bongo Flava maarufu, kushoto ni SOGGY DOGGY HUNTER na kulia ni kiongozi wa kundi la Wanaume Familly KR MULLER...

No comments:

Website counter