Monday, April 18, 2011

HAPPY 'BIRTHDAY' KIPA 'WETU' LUCAS FABIANSKI WA ARSENAL...


Huyu ni LUCAS FABIANSKI, ndio ni kipa 'wetu' wa timu ya ARSENAL ya ENGLAND aliyezaliwa uko Kostrzyn nchini POLAND. Amezaliwa tar 18 april 1985, kwaiyo leo ni siku yake ya kuzaliwa! Ni kipa mzuri ila kwa kutoa 'MABOKO' daah...

No comments:

Website counter