Monday, April 18, 2011

FM ACADEMIA 'WAZEE WA NGWASUMA' WALIVYOFANYA 'KUFURU' JANA USIKU...


Bendi ya FM ACADEMIA aka 'wazee wa ngwasuma' kama kawa walimwaga 'SEBENE' la nguvu jana Jumapili ndani ya ukumbi wa Msasani Club ulioko maeneo ya Morocco jijini Dar! Kwakweli jamaa wanajua muziki ni nini na kwenye kumwaga 'MAUNO' nadhani kila mdau wa muziki anwatambua hawa mabwana, ilikuwa 'HAATWARIII' jana! Pichani nikiwa na 'Rapa' namba moja wa Bendi hiyo KHALIJO MWANA KITOKOLOLO...

Katikati ni Rais wa Bendi hiyo ya FM NYOSHI EL SAADAT aka 'Sauti ya simba' akiwa na ROGEE MUZUNGU kulia, wakiimba kwa hisia jana...

'STAGE' ilitimia jana...

Mkaanga 'CHIPS' akiwa kazini...

Wanenguaji nao hawakufanya AJIZI, na walileta 'Ladha' safi saanaaa...

No comments:

Website counter