Wednesday, April 20, 2011


Hiki ndio kikosi kamili cha BONGO MOVIE QUEENS kinachojumuisha wacheza Filamu woote wa kike nchini ambacho weekend iliyopita ilifungwa kwa TAAABU na timu ya TTCL kwenye mechi kali iliyofanyika kwenye viwanja vya TTCL kijitonyama! Vijana wanazidi kuiva kimazoezi kilasiku saa moja asubuhi pale kwenye viwanja vya Leaderz Kinondoni...
Hapa wanaonekana kina MAYA, JAQ WOLPER, COLETTA na wengineo wakifanya mpango wa 'sala' kidogo kabla mechi haijaanza...
Sala ikiendelea...

Nikiwa kama Katibu Mkuu wa Timu nahahakisha kila m2 yuko sawa, na hapa ni wakati wa mapumziko...

No comments:

Website counter