Thursday, March 24, 2011

WALIVYOJIACHIA WEEKEND HII...


Hapa ni MAFIAN FISH LOUNGE kwa rafiki yangu OMARY KIMBAU nikiwa na rafiki yangu MATUKIO CHUMA tukipata moja mbili mapemaaa kabla 'MAMBO' hayajapanda 'Kichwani'...

Baada ya KILAJI kumpanda kichwani MATUKIO alianza kumwaga 'UNO' la hatwaariii...

Warembozzzz....

Nilikuwa 'nacheka' 2 mwenzenu daah...

RACHEL TEMU nae hakuwa nyuma kwenye 'kuyamwaga' masebenezzz...

1 comment:

Al adawi Barwan said...

uyo Matukio ni chakula ya watu sie asli ya pwani?naona anafanya mambo ya ndani adharani....pata shungu mie

Website counter