Thursday, March 24, 2011

HUUREEEEE BABU AMBI, WE NI 'NOUMAA'...


Ukiambiwa 'VIGOGO' woote unaowajua wanaendelea 'kupishana' kwa BABA AMBI kule LOLIONDO unakataa, sasa mchec uyu Mshua Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri mkuu Mh. WILLIAM LUKUVI 'akichanja' mbuga kuelekea kwenye nyumba ya Babu Ambi kupata 'KIKOMBE' baada ya kusotea Foleni kwa siku 2, acha mchezo watu wanaumwa bwana...

No comments:

Website counter