Sunday, March 6, 2011


Wachezaji wa timu ya SIMBA wakiwa ndani ya mabasi yao tayari kuondoka kurejea Klabuni kwao MSIMBAZI...

Nahodha wa YANGA SHADRAQ NSAJIGWA aka 'FUSO' ambaye pia ni nahodha wa Timu ya Taifa akihojiwa na Mtangazaji wa BBC swahili ABDALLAH MAJURA mara baada ya mechi jana...

Chumba cha wachezaji wa YANGA wakijadiliana mara baada ya mechi ya Jana...

Makocha wa timu zote mbili SIMBA na YANGA wakihojiwa na waandishi wa habari mara baada ya mchezo kumaliziki kwa matokeo ya Droo moja moja, kushoto ni afisa habari wa TFF Boniface Wambura, katikati ni Kocha wa YANGA mganda SAM TIMBE, na kulia ni kocha wa SIMBA mzambia PATRICK PHIRI...

No comments:

Website counter