Sunday, March 6, 2011


Nikiwa na swahiba wangu ambaye ni Golikipa namba moja wa timu ya SIMBA na timu ya Taifa JUMA KASEJA, tukimshangaa jamaaa mmoja aliyekuwa anakata mauno mbele yetu mara baada ya mechi ya SIMBA na YANGA kumalizika jana daaah...

Huyu ndiye mfungaji wa Penalti ya YANGA jana STEPHANO MWASIKA ambaye ni beki wa kushoto wa timu hiyo na Taifa starz...

Kocha wa SIMBA mzambia PATRICK PHIRI akitolewa nje ya uwanja jana baada ya kudaiwa kutoa,lugha chafu kwa mwamuzi wa akiba...

Wachezaji wa YANGA wakiingia kwenye mabasi yao tayari kuondoka kurejea Klabuni kwao JANGWANI mara baada ya mechi kumalizika...

No comments:

Website counter