Thursday, March 3, 2011

LEO NI SIKU YAKE YA KUZALIWA MWANASOKA ZICO WA BRAZIL...


Leo tarehe 3 - 3 ni siku ya kuzaliwa mmoja kati ya wanasoka nyota kuwahi kutokea duniani aitwae ARTHUR ANTUNES COIMBRA aka ZICO! Ni mwanasoka mwenye hesma kubwa Duniani asiyesahaulika kama pacha wa PELE kwenye timu ya Taifa ya Brazil aliyezaliwa Tar 3 march 1953 huko RIO DE JANEIRO BRAZIL akiwa ni mtoto wa 3 kuzaliwa akitanguliwa na kaka zake ANTUNES na EDU. Hapo chini nimekuwekea Video ya mabao yake aliyokuwa anapiga wakati wa enzi zake na ndipo utaamini kwamba kuna wakati Wabrazil walikuwa wanauliza kati yake na PELE nani alikuwa zaidi?...

ZICO alivyo sasa, kashakuwa mtu mzima maskini...

No comments:

Website counter