UKIAMBIWA MJINI KILAKITU NI MAHESABU UNAKATAA, SASA 'MCHEC' HUYO MZEE...
 Nilimbamba mzee huyu jana maeneo ya Kurasini akipiga hesabu kali kama nacheza 'MABETRI' enzi ya utoto ya kuweza kumfanya arukie mawe bila kukanyaga Tope! Ndio maana unaambiwa apa mjini Dar kilakitu kinakwenda kwa  mahesabu na ushahidi ni huo apo...

No comments:
Post a Comment