Thursday, March 17, 2011

KAMA ULIKUWA HUJUI NI KWAMBA....


Huyu ni 'Wajina' BEN FOSTER ambaye ni kipa wa Timu ya BIRMINGHAM CITY ya kule England, ndie kipa aliyeokoa 'MICHOMO' mingi langoni kuliko kipa yoyote katika ligi kuu ya England mpaka sasa! Ameshaokoa mashuti 124 mpaka sasa na Ligi bado inaendelea kudaadekiii...

No comments:

Website counter