Wednesday, March 23, 2011

TWANGA PEPETA WALIVYODUWAZA' WATU JANA USIKU NDANI YA UKUMBI WA TOP LIFE HOTEL KINONDONI...


Kiongozi mkuu wa bendi ya TWANGA Pepeta LUIZA NYONI 'MBUTU' akiongoza jahazi la Bendi yake ukumbi wa TOP LIFE HOTEL Kinondoni wakati bendi hiyo ilipotuimba, kulia kwake ni SALEH KUPAZA 'mwana Tanga'...

Kikosi kizima cha wanenguaji wa Bendi hiyo kilikonga 'NYOYO' za watu ukumbini jana usiku, Hatwaariiii...

Mwimbaji wake Nguli CHALZ BABA 'KINGUNGE' nae hakuwa nyuma kuziba 'mashimo' kama kawa...

No comments:

Website counter