Wednesday, March 23, 2011


Hapa ni miondoko ya 'KAMATA MWIZI MEN...

Marapa mahiri wa Bendi ya Twanga Pepeta, kuanzia kushoto ni GRAYSON SEMSEKWA, MSAFIRI 'DIOF' na DOGO RAMA wakiwajibika kikamilifu Stejini...

Safu ya mabinti warembo ikifanya 'KUFURU' jana, ilikuwa balaa...

Waimbaji stad wa Twanga, kuanzia kushoto ni DOGO RAMA, JANETH ISINIKA na CHALZ BABA 'KINGUNGE'...

1 comment:

Anonymous said...

Bongo kunaboa, starehe ni zilezile. Nilikuwa na mpango wa kuhamia bongo kimoja lakini nilivyokuja last year wiki mbili tu nimemaliza viwanja vyote, nikaanza kuvirudia. Na wewe Ben kila siku Twanga hamna sehemu nyingine??

Website counter