Thursday, March 3, 2011

NILIPOALIKWA KWENYE 'PART' YA RAFIKI YANGU JANA USIKU...


Mimi na rafiki yangu mcheza Filamu JAQ WOLPER tulikuwa miongozi mwa wageni waalikwa kwenye 'PART' iyo ya kufa mtu ya kumpongeza rafiki yetu ambaye ni mwandishi wa Habari wa Kampuni ya GLOBAL PUBLISHERS aitwae ROBBY CHACHA ambye siku iyo mtoto wake wa Kiume alikuwa akisheherekea kutimiza mwaka mmoja wa kuzaliwa, ilikuwa hatwaariii nakwambia...

Kwenye maswala ya 'MSOSI' pia hatukujivunga kuzama kwenye 'BUFEE' wee weeee...

Marafiki nao walikutana, kushoto ni mtangazaji wa Star Tv SAUDA MWILIMA na JAQ WOLPER wakiongea

Heee jamani SAUDA yaani kujipodoa mpaka kwenye simu jama loooh...

No comments:

Website counter