Wednesday, March 16, 2011


Mwigizaji nguli JACOB STEPHEN al maarufu JB nae alikuwepo kama mchezaji wa Timu ya Polisi Jamii...

Tukimsikiliza kwa makini mwandaaji wa Mashindano hayo ya KOVA CUP na mlezi wa Timu yetu ya Polisi Jamii, kamanda wa Polisi kanda maalum ya DAR Bw. SULEIMAN KOVA tukipanga mikakati ya kuifunga timu ya Waandishi wa Habari nchini TASWA FC...

Kushoto ni ABDUL KIBA ambaye ni mdogo wake msaanii wa Bongo Flava ALLY KIBA ambaye anaonekana kwa mbaali na katikati ni mwanamuziki TUNDAMAN ambaye ni Golikipa wetu namba 'moko...

MASANJA, CLOUD, BARAFU na kulia ni KR kutoka Wanaume TMK mara baada ya mazoezi...

Kiongozi wa TMK Wanaume SAIDI FELLA akiwa na watukutu MASANjA na JOTI kutoka Origino comedy...

No comments:

Website counter