Wednesday, March 16, 2011


Apo kushoto ni ABDUL KIBA ambaye ni mdogo wake Ally Kiba na katikati ni Golikipa wetu namba moja TUNDAMAN na kwa mabaali ni ALLY KIBA anaonekana...

Mmmh hapa tunamsikiliza kwa makini Kamanda wa Polisi kanda maalum ya DAR afande SULEIMAN KOVA, akipanga mkakati wa ushindi kwa wachezaji wa Timu yake ya Polisi Jamii ambao ni BEN KINYAIYA, H.BABA na ALLY KIBA...

MASANJA, mwigizaji CLOUD na rapa wa Tmk Wanaume KR woote walikuwepo kwenye timu ya Polisi Jamii...

Kiongozi wa TMK wanaume SAID FELLA nae alikuwepo na hapa akiwa na watukutu MASANJA na JOTI mara baada ya mazoezi kwisha...

No comments:

Website counter