Saturday, March 26, 2011

MUUMINI MWINJUMA NAYE ARUDI TWANGA PEPETA...


Huyu ni MUUMIN MWINJUMA aka 'Kocha wa Dunia' ambaye kwa habari nyepesi nyepesi za uhakika ni kwamba yuko mbioni kurudi kwenye Bendi ya TWANGA PEPETA chini ya kampuni ya ASET! Hivi ninavyoongea ni kwamba ameshaanza mazoezi na Bendi ya TWANGA tayari kutambulishwa 'Rasmi' ingawa inafanywa 'siri' kubwa mpaka sasa, sasa sijui ile Bendi yake ya 'BWAGAMOYO SOUND' nayo ndio itakufa au vipi, tusubiri tuone...

No comments:

Website counter